Juhudi za uokoaji zinaendelea nchini Uturuki na Syria
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-07
Просмотров: 12677
Juhudi za uokoaji zinaendelea nchini Uturuki na Syria, huku hali mbaya ya hewa ya baridi kali ikikwamisha jitihada za kuwatafuta watu waliofunikwa na vifusi vya majengo yaliyoporomoshwa na tetemeko la ardhi na kuua watu zaidi ya 5000.
#AzamTVUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: