WIMBO WA EKARISTI ULIVYOIMBWA KWA LUGHA YA ASILI KATIKA MKESHA WA HIJA NYAKIJOGA. HAKIKA INAPENDEZA
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2019-10-31
Просмотров: 1741
Huu ni muunganiko wa wanakwaya Ya Dekania ya Iyangiro Jimbo Katoliki la Bukoba wakiimba wimbo wa kuabudu Ekaristi Takatifu kwenye mkesha wa Hija ya Bikira Maria wa Nyakijoga..
Ee viumbe karibuni, Mungu wetu kamsifuni
Ndiyo Sakramenti kuu, Mwili Damu ya Yesu..
www.radiombiu.co.tz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: