Fahamu kuhusu Mradi wa Makaa ya Mawe, Mchuchuma
Автор: NDC TV
Загружено: 2020-10-20
Просмотров: 6847
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linamiliki mgodi wa Makaa ya Mawe wa Mchuchuma uliopo Ludewa, mkoani Njombe.
Makaa ya Mawe ni nishati mbadala hasa kwa viwanda ndani na nje ya nchi. Nishati hii ni rafiki wa mazingira na hutumika kwenye viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali kama saruji, nondo, nguo, ndani na nje ya nchi, hivyo kuliingizia Taifa kipato kikubwa.
Mradi huu ukianza utakua wa manufaa makubwa sana kwa Taifa, Jiunge nasi kuijenga Tanzania ya viwanda.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: