Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2023-01-02

Просмотров: 291282

Описание:

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Kipindi cha nyuma kidogo nilifanya lile ambalo huwa nafanya la kuwashirikisha rafiki zangu na team kuhusu list ya watu ambao wangependa kuwaona kwenye kiti chetu chakavu na sababu za kwanini hasa waje kwenye meza ile yenye kigae kwa juu maana tukisema tutaje majina tu bila ya sababu thabit za wao kuja pale tunaweza tukaondoa maana yenyewe ya kuwa na watu wenye story za kuvutia na kutufunza kama ambavyo tumekua tukifanya. Jina la mgeni wetu huyu lililetwa kwangu na Michael (Mx) Mlingwa na Ndugu yangu Elbogast Myaluko ndo alinipatia mawasiliano naye na kuanzia hapo mengine yamebaki kukhadithiwa kama hivi.
Sikua namfahamu Mchungaji Richard Hananja mpaka Michael alipo niambia nami nikachukua muda wangu wa kwenda kufanya ka research kangu kabla hajaja mezani, ambacho nilijifunza ni kwamba Mchungaji alikua ni mtu mashuhuri sana ambaye ana watu wengi sana pia wanao mskiliza. Ilinichukua takriban miezi miwili kuweza kumpata maana kila weekend (mara nyingi rekodi za kipindi huwa zinafanyika weekend) yeye huwa yuko safarini. Huitwa sana sehemu mbali mbali, na sasa Serikali nayo imekua ikimuita pia katika matamasha na mikutano mbalimbali. Kwahiyo mara utamsikia yuko Dodoma, mara Moshi, mara Iringa ilimradi yuko busy. Na wakati mwengine Jumapili yake inakua ya yeye kualikwa kwenye Makanisa mbalimbali ili akatoe neno, siku hizi yeye ameshastaafu kuhubiri kanisani na sasa zilizobaki ni hizo za mialiko maalum.
Kama kawaida mimi na wenzangu tulitaka kuanza kwa kumfahamu mgeni wetu maana kama nilivyokuambia hapo awali mimi sikua namfahamu zaidi tu ya kumuona kwenye mitandao akimwaga cheche, tulianzia kwenye kuzaliwa kwake na kukua kwake, mitihani mbalimbali ya ujana, bishara na kazi ambazo ashawahi fanya, na wakati naandika hii nimejifunza pia kuwa Mchungaji hana ambalo anaongeza chumvi maana baada ya sisi kufanya nae maongezi haya, nimeona ameenda sehemu tofauti tofauti na story yake haijawahi kubadilika.
Ujasiri wa ziada huhitajika ili tuweze kufanikiwa kwenye maisha yetu na pia kuwa kwenye mstari ili usiingie kwenye matatizo na vyombo vya sheria. Mchungaji ananiambia jinsi ambavyo alikua ana hustle kila kona, kusafiri bila ya kibali cha kuvuka mipaka ya nchi na boxing ambayo aliifanya kwenye kipindi flani kwenye maisha yake. Boxing imemuachia kovu ambalo kila siku linamkubusha mapambano ambayo ameshawahi kuyafanya kwenye maisha yake.
Boxing pia ndo ambayo imemfanya awe na discipline ya hali ya juu. Kwenye maisha yake ya sasa Mchungaji Hananja anatoa nafasi kwa kila aliye kata tamaa au ambae watu wamemkatia tamaa, yeye ndo huwachukua hao na kuwapa nafasi nyengine kwenye maisha yao, na amini usiamini wengi wao hunyooka na kuanza upya. Kwenye nyumba yake huko Madale Mchungaji anafanya mambo mengi ikiwa pamoja na kilimo na ufugaji. Swali langu lilianza kwa kutaka kujua hizo pesa za yeye kuweza kufanya mambo yote hayo, huwa zinatoka wapi?
Mchungaji Hananja ni MUME, na kwa mujibu wa maelezo yake, alichelewa saana kuoa na mkewe ni Rafiki yake wa kwanza. Yangu matumaini moja mbili tulizopiga humu zitakupeleka sehemu.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.

Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na SAMATTA  SE6 EP49 | HEADMASTER PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na SAMATTA SE6 EP49 | HEADMASTER PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Tazama Misemo Ya Mchungaji Hananja Ilivyomvunja Mbavu Salama | SALAMA NA RICH BILIONEA PT 2

Tazama Misemo Ya Mchungaji Hananja Ilivyomvunja Mbavu Salama | SALAMA NA RICH BILIONEA PT 2

Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Mfahamu Sheikh Kipozeo, Maisha Yake Ya Utotoni, Familia Na Elimu Yake | SALAMA NA SHEIKH KIPOZEO PT1

Mfahamu Sheikh Kipozeo, Maisha Yake Ya Utotoni, Familia Na Elimu Yake | SALAMA NA SHEIKH KIPOZEO PT1

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI

UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI

Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1

Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1

YESU HAKUJENGA JENGO LOLOTE/ MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI HAFAI KUOA/ UKIMPATA KWENYE BATA MTABATUANA

YESU HAKUJENGA JENGO LOLOTE/ MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI HAFAI KUOA/ UKIMPATA KWENYE BATA MTABATUANA

SABABU ZA WANAWAKE KUWA KANISANI WENGI/ SHEPU NI SIKU 90 TU/ NGUVU ZA KIUME KWENYE NDOA

SABABU ZA WANAWAKE KUWA KANISANI WENGI/ SHEPU NI SIKU 90 TU/ NGUVU ZA KIUME KWENYE NDOA

Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1

Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

HANANJA HAKUBALIANI NA ZUMARIDI, ASIMULIA ALIVYOWEKWA JELA RWANDA KUCHEZA BOXING NA KUISHI NA MATEJA

HANANJA HAKUBALIANI NA ZUMARIDI, ASIMULIA ALIVYOWEKWA JELA RWANDA KUCHEZA BOXING NA KUISHI NA MATEJA

#PART 1: MCHUNGAJI HANANJA - ''KUZAA SIO KIGEZO CHA NDOA, NILIOA NIKIWA NA MIAKA 40'' | HARD TALK

#PART 1: MCHUNGAJI HANANJA - ''KUZAA SIO KIGEZO CHA NDOA, NILIOA NIKIWA NA MIAKA 40'' | HARD TALK

💗 NONDO KALI ZA MAHUSIANO KUTOKA KWA MZEE HANANJA 🔥 ZITAKAZOKUACHA HOI (Part 2)

💗 NONDO KALI ZA MAHUSIANO KUTOKA KWA MZEE HANANJA 🔥 ZITAKAZOKUACHA HOI (Part 2)

Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.

Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.

Salama Na  MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Dakika 40 za Mahubiri ya Mch. Hananja hakika utayapenda. (UDSM CCT CHAPLAINCY).

Dakika 40 za Mahubiri ya Mch. Hananja hakika utayapenda. (UDSM CCT CHAPLAINCY).

😂DARASA LA MAHABA💞 LA MZEE HANANJA LINAVUNJA MBAVU🤣🤭 ILA UKITOKA HAPO USHAKUWA MTATA WA HAYO MAMBO😍

😂DARASA LA MAHABA💞 LA MZEE HANANJA LINAVUNJA MBAVU🤣🤭 ILA UKITOKA HAPO USHAKUWA MTATA WA HAYO MAMBO😍

Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1

Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1

MCHUNGAJI HANANJA AMVUNJA MBAVU MUFTI | UKUMBI MZIMA KICHEKO, AZUNGUMZA KIARABU

MCHUNGAJI HANANJA AMVUNJA MBAVU MUFTI | UKUMBI MZIMA KICHEKO, AZUNGUMZA KIARABU

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com