MAONI: Mashambulizi ya kijeshi kati ya Israel na Iran
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-06-22
Просмотров: 29914
Eneo la Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi linaendelea kuwaka moto kufuatia mashambulizi ya piga-nikupige kati ya Iran na Israel yaliyoanzishwa na uchokozi wa Tel Aviv dhidi ya Tehran mnamo Juni 13 kwa madai ya kuzuwia uwezekano wa Jamhuri hiyo ya Kiislamu kuwa na silaha za nyuklia. #dwkiswahili #dwmaoni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: