JKT MTABILA WAWASHA MORARI MBELE YA MAKAMANDA, BENDI WATIKISA KWA MIDUNDO YA NGOMA.
Автор: Kadi News24
Загружено: 2022-01-30
Просмотров: 67207
Wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa Operetion Samia Suluhu waonyesha uweze mkubwa wa kuimba nyimbo za jeshi mbele ya makamanda.
kambi ya JKT Mtabila Wilayani kasulu Kigoma, imeonyesha uwezo huo wakati wa kufunga mafunzo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: