Jamii ya wafugaji Ngorongoro wawajia juu wapotoshaji
Автор: Azam TV
Загружено: 2021-01-22
Просмотров: 14759
Viongozi wa mila pamoja na wananchi wa jamii ya wafugaji wanaoishi ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, wameeleza kusikitishwa na kile wanachokiita ‘propaganda’ zinazoenezwa zikiwatuhumu kufanya shughuli zinazochochea tishio la kutoweka kwa hifadhi hiyo ya pekee duniani.
#Ngorongoro #HifadhiYaNgorongoro #JamiiYaWafugajiNgorongoro
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: