MAAMUZI YAKO NDIO HATIMA YAKO | Nguvu Kubwa ya Kuamua katika Maisha PesaVibe Motivation
Автор: pesavibe
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 302
Maamuzi yako yanaamua hatma yako.
Kila hatua unayochukua leo, inaunda maisha yako ya kesho.
Usiishi kama abiria kwenye safari ya maisha yako shika usukani, chagua kwa ujasiri, na amua kuishi kwa kusudi.
Katika video hii ya PesaVibe, utajifunza jinsi nguvu ya maamuzi inavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa.
Utapata msukumo wa kuamka, kuchukua hatua, na kuamini kwamba wewe ndio una uwezo wa kuunda hatma yako mwenyewe. 💪🔥
📚 Vitabu vya Motisha na Elimu ya Kifedha vinavyopatikana sasa:
1️⃣ AKIBA NA UWEKEZAJI Jifunze jinsi ya kujenga utajiri kupitia nidhamu ya fedha na uwekezaji wenye akili.
2️⃣ FIKRA ZA UTAJIRI Badilisha mtazamo wako juu ya pesa, mafanikio, na maisha ya kifahari kupitia fikra sahihi.
👉 Pata nakala yako sasa kupitia WhatsApp:
📞 +255 617 132 835
💬 Usisahau:
✅ Subscribe ili upate video zaidi za motisha, elimu ya fedha, na maendeleo binafsi kila wiki.
✅ Share video hii na rafiki ambaye anahitaji kukumbushwa kwamba hatma yake bado iko mikononi mwake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: