MEDICOUNTER: Tatizo la UONI HAFIFU. Nini chanzo? Likoje? Na linatibikaje?
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-06-12
Просмотров: 8934
Tatizo la kukosa uwezo wa kuona mbali au kuona karibu ni miongoni mwa aina za tatizo kubwa la uoni hafifu ambalo limekuwa likiwakumba watu wa rika zote.
Je, tatizo hili husababishwa na nini? Zipi dalili zake na tiba yake ikoje?
Ungana na Dafrosa Prosper kupata undani wa hayo yote.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: