Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

AFISA MIPANGO APATA KIGUGUMIZI, WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI "UBABAISHAJI MTUPU"

Автор: Millard Ayo

Загружено: 2021-10-08

Просмотров: 25224

Описание:

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale Bw. Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Liwale na kuviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi juu ya tuhuma hizo.

“Hatuwezi kufanya mchezo na fedha ya Serikali. Tunahitaji kila mradi uende vizuri, fedha iliyoletwa lazima itumike kama ilivyokusudiwa.”

Mheshimiwa Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza matumizi mazuri ya fedha za umma ili zikamilishe miradi ya maendeleo ya wananchi na kwamba Serikali haitamvumilia mtumishi yoyote anayetumia vibaya fedha za umma.

Waziri Mkuu amemsimamisha kazi mtumishi huyo jana (Alhamisi Oktoba 7, 2021) wakati akizungumza na madiwani, watumishi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Lindi.

AFISA MIPANGO APATA KIGUGUMIZI, WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI "UBABAISHAJI MTUPU"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MAJALIWA 'Amkaanga' KAMANDA

MAJALIWA 'Amkaanga' KAMANDA "Amechoma Moto Ofisi, Huna Taarifa? / MKAMATE HUYU"

KIJANA ALIYEPIGWA RISASI OKTOBA 29 AKABIDHIWA BAJAJI NA MGUU WA BANDIA, AONGEA KWA MACHUNGU

KIJANA ALIYEPIGWA RISASI OKTOBA 29 AKABIDHIWA BAJAJI NA MGUU WA BANDIA, AONGEA KWA MACHUNGU

WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI KIGOGO WA MABASI YA MWENDOKASI, AWAITA MAKATIBU WAKUU OFISINI KWAKE

WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI KIGOGO WA MABASI YA MWENDOKASI, AWAITA MAKATIBU WAKUU OFISINI KWAKE

#LIVE: KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA IKULU DODOMA

#LIVE: KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA IKULU DODOMA

🔴LIVE: MAZISHI YA MZEE MTEI, CHADEMA WAFURIKA KUMZIKA MUASISI WA CHADEMA

🔴LIVE: MAZISHI YA MZEE MTEI, CHADEMA WAFURIKA KUMZIKA MUASISI WA CHADEMA

Majaliwa aagiza waliosimamia ujenzi Veta Uyui kukamatwa

Majaliwa aagiza waliosimamia ujenzi Veta Uyui kukamatwa

WAZIRI MKUU AZINDUA MELI YA MV NEW MWANZA, INABEBA ABIRIA 1200 ZIWA VICTORIA, KITUNZWE KIDUMU

WAZIRI MKUU AZINDUA MELI YA MV NEW MWANZA, INABEBA ABIRIA 1200 ZIWA VICTORIA, KITUNZWE KIDUMU

🔴#LIVE: MAJONZI NA VILIO, MAZISHI YA MZEE MTEI MUDA HUU/ WAZIRI MKUU, CHADEMA MSIBANI

🔴#LIVE: MAJONZI NA VILIO, MAZISHI YA MZEE MTEI MUDA HUU/ WAZIRI MKUU, CHADEMA MSIBANI

"TAKUKURU MCHUNGUZENI HUYU" - WAZIRI MKUU KWA HASIRA AANIKA MADUDU YA AFISA ARDHI

WAZIRI MKUU Alivyokiwasha ''DC KILOLO Haiwezekani Ufukuze Watumishi Wote Hawa''

WAZIRI MKUU Alivyokiwasha ''DC KILOLO Haiwezekani Ufukuze Watumishi Wote Hawa''

Waziri Mkuu ambana Meneja TARURA Serengeti apatwa na kigugumizi Ashindwa kujibu

Waziri Mkuu ambana Meneja TARURA Serengeti apatwa na kigugumizi Ashindwa kujibu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomsimamisha kazi Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Same

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomsimamisha kazi Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Same

IRGC:

IRGC: "VIDOLE VYETU VIKO KWENYE KITUFE, TUSHAMBULIENI MUONE "

Watanzania Wanamuaga Mzee Edwin Mtei, Gavana wa Kwanza wa Tanzania; Na Mwanzilishi wa CHADEMA

Watanzania Wanamuaga Mzee Edwin Mtei, Gavana wa Kwanza wa Tanzania; Na Mwanzilishi wa CHADEMA

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Mh Kassim Majaliwa Ateuliwa Kuwa Waziri Mkuu

Mh Kassim Majaliwa Ateuliwa Kuwa Waziri Mkuu

KESI YA UHUJUMU UCHUMI KIGOMA BADO MBICHI NA WATUMISHI WA SERIKALI

KESI YA UHUJUMU UCHUMI KIGOMA BADO MBICHI NA WATUMISHI WA SERIKALI "DHAMANA WATU WATANO"

Абу-Даби: что происходит, Преемники Кадырова, Богомолова повысили. Фейгин, Левиев, Монгайт, Айсин

Абу-Даби: что происходит, Преемники Кадырова, Богомолова повысили. Фейгин, Левиев, Монгайт, Айсин

СВИТАН: Бегите из этих городов! ИХ УЖЕ СДАЛИ НА ПЕРЕГОВОРАХ. Будет линия по Днепру. ВСУ остановились

СВИТАН: Бегите из этих городов! ИХ УЖЕ СДАЛИ НА ПЕРЕГОВОРАХ. Будет линия по Днепру. ВСУ остановились

ZIELIŃSKI Z GOLEM! CO ZA FORMA POLAKA! INTER PRĘŻY MUSKUŁY, PODPUŚCILI I SKASOWALI | SKRÓT

ZIELIŃSKI Z GOLEM! CO ZA FORMA POLAKA! INTER PRĘŻY MUSKUŁY, PODPUŚCILI I SKASOWALI | SKRÓT

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com