TIMBWILI LA WANANCHI KIJIJI CHA ILEJE / UHABA WA MAJI / DC AFUNGUKA - "BILLIONI 4.9 KUMALIZA TATIZO"
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2022-05-18
Просмотров: 651
TIMBWILI LA WANANCHI KIJIJI CHA ILEJE / UHABA WA MAJI / DC AFUNGUKA - "BILLIONI 4.9 KUMALIZA TATIZO"
Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi Bilioni 4.9 kwa ajili ya kumaliza changamoto ya tatizo la maji katika miji ya Itumba na Isongole wilayani Ileje mkoani Songwe ambapo
Wananchi wa maeneo hayo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji Safi na salama ya uhakika ambapo wamekuwa na kilio hicho kwa Muda mrefu huku hali hiyo ya kukosekana kwa maji ikiwapelekea kutumia muda mwingi kutafuta maji .
Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya hiyo Bi. Anna Gidarya wakati wa kujibu kero za wananchi zilizoibuka wakati mkutano wa hadhara Katika katanya Isongole na Itumba ambapo amesema serikali imetoa Billioni 4.9 ili kumaliza tatizo la upatikanaji Safi na salama kwa Wananchi wa maeneo hayo.
Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji mji wa Itumba na Isongole amesema kwa mda mrefu wananchi wa miji hiyo wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji ya uhakika.
Awali Wananchi walipaza sauti zao kwa serikali ili kuwanusuru na kadhia ya ukosefu wa maji Safi na salama ambapo walisema
hutumia muda mwingi kutafuta huduma ya maji.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: