Ibada ya Jumapili somo. Kushinda hofu / PST pastor kusenza
Автор: IMANI YETU MEDIA
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 158
LIVE: SOMO. kushinda hofu/ PST. KUZENZA Ungana nasi sasa moja kwa moja tujifunze njia za kuvunja minyororo ya hofu na kuingia katika ujasiri wa Mungu. PST KUZENZA anafundisha kwa nguvu, hekima na ufunuo utakao kujenga, kukutia moyo na kukurudisha kwenye kusudi lako halisi.
Usikose - hii ni wakati wako wa ushindi
#ImaniYetuMedia #FPCTBuzuruga #liveService #nenolaMungu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: