Siri 7 za Kuchagua Biashara Yenye Faida Kabla ya Kuweka Mtaji
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-10-23
Просмотров: 118
Unataka kuanzisha biashara LAKINI unaogopa kupoteza KILA KITU? Labda umesikia hadithi za watu walio filisika KABISA, na sasa unajiuliza, 'Je, mimi nitaweza kweli?' Hofu ya kupoteza hela zako zote, hofu ya kuchekwa, hofu ya KUTOFAULU... ni hisia halisi! Lakini sikiliza, hofu hiyo INAISHA HAPA LEO! Katika video hii, nimekuandalia ramani ya ushindi. Nitakupa *siri saba za USHINDI* zitakazo kusaidia kuchagua biashara itakayo lipuka kwa faida na kuepuka mitego inayomaliza watu wengi. Hizi ni siri ambazo matajiri wanazitumia lakini hawazisemi. Baki nami hadi mwisho, na nakuapia, siri ya tano peke yake ITACHANGANYA akili yako kuhusu biashara.
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: