#FAHAMU
Автор: Shamba hub
Загружено: 2023-03-30
Просмотров: 10673
Fahamu namna ya Upandaji wa Miche ya Zao la Kahawa Chotara au COMPACT kutoka kwa Meneja wa Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Kanda za Nyanda za Juu Kusini Ndugu DISMAS PANGALAS akizungumzia njia na utafiti wa Kilimo cha Zao la KAHAWA.
Tazama kwa kirefu kufahamu zaidi juu ya Kilimo cha KAHAWA katika Mitandao yetu ya Kijamii kufahamu zaidi:
Twitter : / shambahubtz
Instagram : / shambahub_tz
#kilimobiashara #kahawa #coffeeplantation #coffee #Mbeya #songwe #Tanzania #technology
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: