KUKUBALI NA KUTII - Apostle Daniel Stanslaus
Автор: Peniel Church Media
Загружено: 2025-09-28
Просмотров: 30
KUKUBALI NA KUMTII MUNGU
✅Roho wa Mungu anatupima unyenyekevu wetu kwa maagizo anayotoa ili aone kama tunaaminiwa kuinuliwa hatua nyingne
✅unatakiwa usikivu kwa bidii na kufanya bila kupindisha kwa sababu zako binafsi ili uone matokea mazuri
✅kumb28:1 anasema kusikia sauti kwa bidii na kutekeleza maagizo
✅Mungu hasemi kwa bahati mbaya,na anaposema sauti yake imebeba wema kwenye maisha yako,usidharau.Mungu anatumia kiongoz wako,mchungaji hata wewe mwenyewe nafsin kwako kuzungumza na wewe
1samwel 15:3,21-23
✅Kutii maelekezo ya Mungu kunakufanya utembee na Roho ya uweza
kutokutii kunapunguza au kuondoa Nguvu ya Mungu ndani ya Mtu,
✅Unaaminiwa na Mungu kwa kukubali kutii vile vitu ambavyo wewe unaona ni vidogodogo sana, Luka 16:10
✅Utii ni ghalama na ndio maana ukikubali na kutii Mungu anakulipa kwa kukupa mema ya nchi isaya 1:19
✅Kutokutii kunakupotezea sifa ya kwenda kule Mungu alipoweka kwa ajili yako,Hesabu 20:8,11-12
✅Ndani mwako ukisemeshwa na Mungu kufanya jambo,hata kama linaonekana gumu fanya,unaweza pata ugumu wakati unaanza ila baadae Roho ya Uweza itakusaidia na jambo litaisha salama.Usipofanya Mungu anakasirika
✅Haufanyi jambo kwa sababu lipo ndani ya uwezo wako kufanya ila unafanya jambo Mungu analotaka hata kama ni gumu
✅Utii utakuvusha kutoka hapo ulipo hadi hatua nyingine,Neno 'Itakuwaje' linaweza kukuchelewesha Mungu akisema nawe,acha maswali ndani yako ukisikia msukumo wa kufanya jambo ndani yako.kukubali kwako kunabadilisha maisha yako na watu waliokuzunguka,Ibrahim asingemtii Mungu ingekuwaje?
1wafalme 17:12-15
✅Mungu kama alimtumia mjane kufanya Eliya aishi kipindi cha njaa anaweza kukutumia na wewe kubadili maisha ya watu,kubadili taifa kubadili jamii inayokuzunguka ila kubali na kutii
kuna wakati maagizo ya Mungu yanaweza yakawa kama haya -make sense,yaani hayaingii akilini.Maadam amesema Mungu wewe fanya Mungu anataka kwako utii tu basi
Mungu akikuambia ufanye jambo,ukaliona kuna ugumu,haimaanishi uache,Kitendo cha Mungu kukuambia anajua unaweza,ukiona ugumu pambana kwa kuomba na kuamini hakikisha jambo litokee Hesabu 13:27-28
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: