Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Ni Aibu! Msitu wa Ngezi Unaleta Milioni 15 Tu kwa Mwaka? Tunahitaji Kuamka!

Автор: kilimo tv

Загружено: 2025-12-07

Просмотров: 1121

Описание:

Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, ameonesha kutoridhishwa na kiwango kidogo cha mapato yanayotokana na wageni wanaotembelea Hifadhi ya Ngezi.

Amesema ukusanyaji wa takribani shilingi milioni 15 kwa mwaka ni mdogo sana na haufanani na fursa kubwa ya utalii iliyopo katika hifadhi hiyo.

Waziri Makame amewataka watendaji kusimamia kikamilifu rasilimali zilizopo na kubuni mbinu mpya na za kisasa za kuvutia watalii zaidi, ili kuongeza mapato na kuchangia katika ustawi wa uchumi wa Taifa.

Kwa sasa, mapato yanayotokana na ugeni katika Hifadhi ya Ngezi yamebaki katika kiwango cha shilingi milioni 15 kwa mwaka, hali ambayo amesema haiakisi thamani kubwa ya hifadhi hiyo.

Ni Aibu! Msitu wa Ngezi Unaleta Milioni 15 Tu kwa Mwaka? Tunahitaji Kuamka!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Msimamizi wa Kituo cha Kilimo Dodeani Aingia 18 za Waziri! | Hatua Kali Zachukuliwa

#KAMISHENI YA ARDHI YATOA TAHADHARI UNUNUZI WA VIWANJA ZNZ

ANGALIA HATUA ALOCHUKUA WAZIRI APIGA SIMU TRANSFOMA ILETWE

WIZARA YA UJENZI YAWAFIKIA WANANCHI WALIOKARIBU NA HIFADHI ZA BARABARA

TFSRP: Kilimo App Itabadilisha Kilimo Kisiwani Zanzibar

Hivi Ndivyo Khamis Juma Alivyoboresha Kilimo Chake Pemba

Waziri wa Kilimo Atoa Maagizo Mazito kwa Wasimamizi wa Miradi na Watendaji wa Wizara

Kwa Nini Mahindi Matamu  ya Njano Ni Mali kwa Wakulima wa Zanzibar? Ukweli Huu Hapa

Tangu Kuapishwa Mpaka Leo: Haya Ndio Yaliyojiri Wizara ya Kilimo na Mifugo (Mwezi 1)

Внутри тюремной реабилитации Талибана для наркозависимых

BURZA W SEJMIE - AWANTURA NA POCZĄTKU OBRAD!

Waziri wa Kilimo na Naibu Waziri Watinga kwa Wafugaji wa Kuku  | Msukumo Mpya kwa Sekta ya Mifugo

“Mlemele Yapiga Kelele! Wakulima Wamlilia Waziri wa Kilimo Kwa Msaada”

KESI YA WAGOMBEA UWAKILISHI ACT WAZALENDO YASOMWA LEO MAHAKAMA KUU ZANZIBAR

"Rosja będzie silniejsza niż była”. Nowy podział świata bez Europy

ZOEZI LA BOMOA BOMOA PEMBA LAENDELEA

ZOEZI LA BOMOA BOMOA PEMBA LAENDELEA

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

MFAHAMU HAI HAI, MZEE ALIYEJIZOLEA UMAARUFU TIKTOK - VISIWANI ZANZIBAR

Kile Usichokijua Kuhusu Ziara ya Waziri wa Kilimo Kisiwani Pemba!

NYUMBA ZILIZOLIPWA FIDIA  BARABARA YA MICHEWENI- SHUMBA BANDARIN ZA BOMOLEWA, HAYA HAPA MAELEKEZO

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]