MWANZO MBAYA | SOMO LA 3 | Robo ya 3| MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA
Автор: BW MEDIA
Загружено: 2025-07-15
Просмотров: 3287
#hopesabbathschool
Kumfuata Mungu si rahisi kama wengi hudhani. Hata Musa alipitia hofu na changamoto licha ya wito wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu.Hali kadhalika, utii wetu unaweza kuleta changamoto badala ya mafanikio ya haraka, lakini Mungu hutufundisha kumtumaini na kumtegemea wakati wote.
Tazama ujumbe huu wa kutia moyo kutoka BW Media, ukikumbusha kwamba hatuitwi kwenye urahisi, bali kwenye uvumilivu wa kiimani na ushirikiano wa kiungu kama Musa. tuamini hata katikati ya magumu.
👇 Subscribe kwa channel yetu ili usipitwe na matangazo mengine kama haya!
🔔 Bonyeza kengele ili upate Taarifa kila tunapokuwa live!
📩 Contact us: [email protected]
📱 WhatsApp: +255 658 464 549
#biblestudyguides #kutoka #sabbathschool #Zaburi #Masalia #MlimaSayuni #InjiliYaMilele #NenoLaMungu #BibleStudy #swahiligospel @BW MEDIA
#sdachurch #mezayamakuhani #mwongozowakujifunzabiblia #Pambano
#hopesabbathschool#Unabii#zaburi#imani#ukweliwa#K#UkweliWaPatakatifu#MunguNaMaovu#BibliaNaMaisha#biblestudyguide
#exodus5
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: