Thomas Myagira Nitasimama Tena Official Video 700 X 1920 60fps
Автор: Thomas Myagila
Загружено: 2021-09-14
Просмотров: 5933
Wimbo wa NITASIMAMA TENA ni wimbo ulioandikwa na kuimbwa na Thomas Myagila ukiwa na ujumbe wa neno la Mungu wenye lengo la kuinua nafsi ya mtu aliyevunjika moyo au kukata tamaa kwenye maisha.
Endelea kusikiliza na kufuatilia kazi za mtumishi wa Mungu Thomas kupitia akaunti hii.
PRODUCTION ; AUDIO: Aaron Swai.
VIDEO: Fountain media.
MUSIC: Victor Sebastian Mkanumkole
BACK VOCALS: Amani Yasin, Benjamin Edward na
Dorcas Mallya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: