TWENDE TUKAMPOKEE - ST. RITA RUAKA CHOIR
Автор: ST. RITA RUAKA CHOIR
Загружено: 2024-09-18
Просмотров: 1056
Ekaristi ina nguvu kweli. Ekaristi ni Mungu kweli.
Yesu alituachia Ekaristi takatifu. Kila siku, anatuita tukampokee, azihuishe nafsi zetu. Yuko tayari kuja ndani yetu na kutuelekeza katika safari yetu ya imani.
TWENDE TUKAMPOKEE Na Francis Mwenzwa
Bwana anatuita twendeni, mezani mwa bwana twe-nde tukampokee, Kwa chakula cha uzi-ma kutoka mbinguni.
Atatushibisha mkate, Na divai ya mzabi-bu tukampokee, yumo humu mzima twe-nde tukampokee.
1. Japo kwa macho twaona, mfano wa mkate, ndani yake yumo, Na Umungu wake wote, ( najongea kwako ni-shibishe).
2. Uliwashibisha watu, watu elfu tano, kwa mikate tano, Na visamaki vichache, (najongea.........).
3. Jioni ya alhamisi, kabla ya kuteswa, ulimega mkate, Na Kwa ukumbusho wako, (najongea.........).
4. Mimi sistahili bwana, nipe rehemazo, mimi mwenye dhambi, bwana uniponye nafsi, (najongea…).
5. Usiniache ee bwana, kaa ndani yangu, uwe chemichemi, uwe mwanga ndani yangu, (najongea kwako ni-shibishe).
To request the music sheet, email us at [email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: