siri za kuomba kwa kunena kwa lugha (sehemu ya tatu)- Mwl Davidney Kaale
Автор: Davidney Kaale
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 110
Hii ni nafasi ya kujifunza, kuomba, na kutafakari Neno la Mungu pamoja! Mwalimu Davidney Kaale anakuongoza katika mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho ili kukuimarisha katika safari yako ya imani.
📞 Ikiwa unahitaji maombi au ushauri wa kina, wasiliana kupitia:
📌 0743 513 008
📌 0617 583 008
🔴 Jiunge nasi moja kwa moja, shiriki na wengine, na usisahau ku-subscribe ili upokee mafundisho zaidi!
✍️ Tuma mahitaji yako ya maombi kwenye comments, tuombe pamoja!
Bwana akubariki, tuanze! 🙌🔥
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: