MVUA YA UPEPO YABOMOA NYUMBA 52 RUANGWA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 80
Zaidi ya kaya 52 za wilayani Ruangwa mkoani Lindi zimekosa makazi kufuatia nyumba zao kuathiriwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo iliyonyesha kwa muda mfupi jana Januari, 13, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa ya athari za mvua hizo, baadhi ya nyumba zimebomoka na nyingine zimeezuliwa mapaa.
Mhariri | @rajjmsangi
#UFMUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: