Mnyika Amjibu Msajili, Asema ni Mbinu Chafu za Kuihujumu 'No Reforms, No Election'
Автор: The Chanzo
Загружено: 2025-03-25
Просмотров: 12676
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameyasema hayo Leo Machi 25, 2025, wakati akifungua mafunzo ya uongozi kwa viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini.
Mafunzo hayo yanafanyika Masasi, mkoani Mtwara ambapo Katibu Mkuu amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: