Wafula Cresent akubali kupashwa tohara kitamaduni Jijini Nairobi
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2014-08-09
Просмотров: 928
Shughuli ya upashaji tohara kwa jamii ya wa Bukhusu ambayo ni moja kati ya jamii za Waluhya inaendelea katika kanda ya magharibi mwa Kenya ambapo mamia ya wavulana watapata fursa ya kufanywa wanaume halisi kulingana na mila ya jamii hiyo. ambapo kijana Wafula Cresent alikubali kufanyiwa shughuli hiyo Jijini Nairobi
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: