Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Wanapata mshahara milioni ngapi kwa mwezi?
Автор: EBM SWAHILI
Загружено: 2022-05-21
Просмотров: 239647
Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.
Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: