WANANCHI WA ILINGA KATA YA IBIGHI WAOMBA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE YA MSINGI BUNYAKASEGE
Автор: MEJY TV
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 54
*TUKUTANE SITE
Ikiwa ni Mwendelezo wa Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe.GABRIEL MWAKAGENDA ambaye pia ni Diwawa kata ya Ibighi ameshirikiana na Wananchi wa Ilinga katika kuanda Eneo la Ujenz wa Shule ya Msingi Bunyakasege iliyopo kijiji Cha Ilinga kata ya Ibighi amewashukuru Wananchi kujitokeza kwa wingi kwa Ajiri ya kusafisha Eneo la Ujenzi wa Vyumba Vya Madarasa ikiwa ni baada ya kubomoka kwa jengo hilo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: