Maandamano makubwa ya bodada wakisindikiza mwili wa dereva mwenzao
Автор: masta tz
Загружено: 2025-11-11
Просмотров: 1336
Maandamano makubwa ya bodada wakisindikiza mwili wa dereva mwenzao
Hizi ni shamrashamra za sherehe za kuaga mwili wa dereva bodaboda aitwaye Samwel Mwakalinga ali maarufu kama chodi aliyefariki kwa ajali ya pikipiki Mnamo tarehe 10/11/2025 na ajali hii ilitokea usiku wa tarehe 9/11/2025, ikisemekana kuwa chanzo cha ajali hiyo ni vifusi vilivyoko Barabara ya lwangwa KyejoGas inayoendelea na matengezo. Na huu umati unaouona wengi wao ni maafisa usafirishiji bodaboda kutoka lwangwa Busokelo walioungana na wanajamii wakazi wa mji huo wa Lwangwa. Chodi alizaliwa mnamo tarehe 27/12/2007.
Na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Our Best Tags
masta tz, masta online tv, master tz, master online tv, master tv, masta tv.
Dunia, last chance, snake boy, rais samia, Tundu Lissu, Heche, arusha, IGP Mulliro, sajent, paten, zuchu, harmonize, kilimo tanzania, mkulima bora,kesi la lissu, kombolela, rose muhando, Busokelo tv, lwangwa, mkurugenzi mpya Busokelo.
#siasa #muziki #habari #mastatz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: