TAMBUA CHANZO CHA TATIZO UNALOPITIA – PASTOR SUNBELLA KYANDO
Автор: Bishop Sunbella Kyando
Загружено: 2021-11-10
Просмотров: 42132
Mungu anasema "mimi nami nimeliona jambo hili" Maana yake kuna kitu anataka|alitaka kufanya.
Kitu ambacho Mungu alikua anazungumzia ilikua ni kwa habari ya nyumba ambayo ilibeba jina lake, kilichokua kinamshangaza ni nyumba yake kubeba vitu visivyofaa.
Ni rahisi watu kuona tatizo lakini sio rahisi kujua CHANZO cha tatizo.Popote zinapokuwepo nguvu za giza, zinakua zimepewa "assignment" ambayo pia inakua imefungwa kwenye muda, kwa kadri ambavyo ZINAFANIKIWA ndivyo ambavyo zinazidi kupata nguvu.Haipaswi kupuuzia nguvu za giza.
#PastorSunbellaKyando#Chanzo#ChaTatizo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: