Brayban - tuliza boli (official music video)
Автор: Brayban
Загружено: Дата премьеры: 29 июл. 2023 г.
Просмотров: 1 776 762 просмотра
The song described above is a heartfelt and introspective anthem that explores the challenges and struggles in relationship. It carries a message of resilience, determination, and the power of music as a form of self-expression and solace. The lyrics reflect the love journey through difficult times, acknowledging the weight they carry while seeking understanding and support from a loved one. The song's tone is both vulnerable and empowering, with verses that capture the complexities of life and a chorus that uplifts and inspires. Overall, it is a song that invites listeners to connect with their own emotions, find strength in their passions, and embrace the healing power of music.
LYRICS
VERSE 1
Oooh siku izi mapenzi yamekuwa kama vita, ila mwenzangu unachukulia kawaida
Hao washenzi wanaokupa kichwa, kwenye njia yako wamepanda miba
Ukiacha mapenzi na kushare kitanda, mimi na wewe ni marafiki
Kabla ya uamuzi baby ungepima, ukubwa wa kosa baby ungepima
Kipi kimefanya ukimbie ungepima, ukubwa wa kosa baby ungepima
Masikioni, masikioni mwako, najua wakujaza suumu
Huoni mazuri yangu
Masikioni, masikioni mwako, najua wamesambaza suumu
Huoni mazuri yangu
Tu tu tu tu tuliza ball, mwenzako nipo kikaangoni
Chorus
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Verse 2
Tatizo lako we unang’ang’ania, unang’ang’ania na kung’ang’ania
Hatuongei yakaisha, kitu kidogo tu unakazania
Umeruhusu machozi yakichafue kitanda, wakati unajua wakunifuta sKwanza upendo siri yake kupendana, pili upendo unataka heshima
Mwanzo mapenzi yalikuwa matamu, mithili y sukari iiii
Leo mapenzi yamefika hapa, umekuwa katiiiri iiii
Masikioni, masikioni mwako, najua wamesambaza suumu
Huoni mazuri yangu
Masikioni, masikioni mwako, najua wamesambaza suumu
Huoni mazuri yangu
Tu tu tu tu tuliza ball, mwenzako nipo kikaangoni
Chorus
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
#tulizaball #mapenzi #mahusiano

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: