Magoli | Yanga SC 4-1 Azam FC | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024
Автор: Azam TV
Загружено: 2024-08-11
Просмотров: 670783
Magoli matano yamefungwa, Yanga ikishinda 4-1 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali #NgaoYaJamii2024 ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar s Salaam.
Magoli ya Yanga yametoka kwa Prince Dube 19', Yoro Diaby 28' goli la kujifunga, Stephane Aziz Ki 31' na Clement Mzize 90’+3 , huku Azam FC wakitangulia kwa goli la Feisal Salum Feitoto 13'.
Haya hapa magoli yote......
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: