HAFLA YA KUWAPONGEZA WANAMICHEZO WALIOFANYA VIZURI MASHINDANO YA KIMATAIFA - IKULU DAR ES SALAAM
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2026-01-10
Просмотров: 16026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza hafla ya kuwapongeza wanamichezo wa Tanzania waliofanya vizuri na kulitangaza Taifa katika mashindano mbalimbali ya kimataifa, leo tarehe 10 Januari, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: