Zijue mbinu aizotumia mwanadada ambeye ameishi na ugonjwa wa kisukari kwa zaidi ya miaka 10
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-07-24
Просмотров: 12077
Ikizingatiwa kwamba magojwa yasiyoambukizwa kama vile kisukari hufupisha maisha ya Watanzania wengi, Lucy Johnbosko amekuwa kinara katika kuwaelekeza watanzania jinsi ya kupambana na Ugojwa wa kisukari na hatimaye kuishi maisha ya kawaida kama wengine.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: