AFYA NA LUGHA YA ALAMA
Автор: KAF
Загружено: 2025-06-06
Просмотров: 61
Wizara ya afya ya Zanzibar imetowa tahadhari kwa wananchi juu ya kujikinga kutokana na maradhi ya mripuko kwa kipindi cha sikukuu, Tahadhari hiyo iliyokuwa ikitafsiriwa pia kupitia lugha ya alama, kupitia wakalimani wa lugha hiyo kutoka JUWALAZA, Pia walikuwepo na wataalamu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: