KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
Автор: Global TV Online
Загружено: 5 июн. 2018 г.
Просмотров: 143 157 просмотров
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi amemweleza Spika wa Bunge Job Ndugai kuwa hawana Ilani za uchaguzi za CCM tu bali hata orodha ya ahadi ambazo zimetolewa na chama hicho wakati wa uchaguzi mwaka 2020.
Akichangia bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2018/19, Sugu amesema wakati yeye akiwa gerezani Ndugai alitaka wabunge wote kupewa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Akazitaja ahadi hizo ambazo ni pamoja na laptop, Sh milioni 50 katika kila kijiji na elimu bure ambayo ipo lakini ni janga tu.
Baadhi ya wabunge waliochangia hotuba hiyo wameelea mambo mbalimbali yanayokwamishwa na wizara ya fedha na mipango.
lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: