JINSI YA KUZUNGUMZA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Автор: Holy Spirit Connect
Загружено: 2024-11-25
Просмотров: 67181
JINSI YA KUZUNGUMZA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Je, unatamani kujua jinsi ya kujenga mawasiliano ya karibu na Roho Mtakatifu? Katika somo hili, utajifunza kwa undani Roho Mtakatifu ni nani, tabia zake, jinsi ya kujenga mahusiano naye, jinsi ya kuzungumza na jinsi ya kuongozwa naye katika kila hatua ya maisha yako.
Somo hili litakusaidia sana katika maisha yako ya kiroho. Na litakutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
Chukua pen na karatasi ujifunze somo hili sasa.
⏯️ Usisahau kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya kiroho. Na pia like na kushare na watu wengine.
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
YouTube Link:
/ holyspiritconnect
Tiktok Link:
/ hscworship
#holyspiritconnect #innocentmorris
#RohoMtakatifu #MafunzoYaKiRoho #InnocentMorris
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: