FICHIO LA TAKA [MJA SI MKAMILIFU] OFFICIAL VIDEO | LIGHTHOUSE MINISTERS NRB | A-PICS | SIFATUNES
Автор: The Lighthouse Ministers Nairobi
Загружено: 2025-11-14
Просмотров: 69671
FICHIO LA TAKA [MJA SI MKAMILIFU] OFFICIAL VIDEO - THE LIGHTHOUSE MINISTERS NRB.
Mja Si Mkamilifu!
Hakika, hakuna mwanadamu mkamilifu. Tumekithiri kwa udhaifu, upungufu, na hila za mioyo yetu. Wema tumeusukuma mbali, na badala yake tunalaumiana, tunatupiana tope, tukisahau kwamba sisi sote ni wakosaji mbele za Mungu. Fahamu Zetu na zifunguliwe, tupate kubaini kwamba Ukristo wa Kweli ni maisha Kama ya Kristo!
Wimbo huu ni sauti ya kutukumbusha kwamba Ukristo wa kweli unaonekana kwenye tabia, si maneno. Ni mwaliko wa kurudi kwenye unyenyekevu, huruma, na upendo wa Kristo ambao hatubebei wengine mizigo—tunaibeba pamoja.
Tazama, guza moyo wako, kisha usambaze huu ujumbe na mtu mwingine anayeihitaji leo.
Mungu akubariki kwa kusapoti huduma hii.
🎬 Video By: A-Pics Studios
🎙️ Audio By: SifaTunes Studios
#MjaSiMkamilifu #FichioLaTaka #LighthouseMinistersNairobi #GospelKenya #OfficialVideo #WorshipKenya #NewGospelRelease #AminiNaUishi #music #sda
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: