Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Msiba Mke wa Naibu waziri Kangi Lugola: Waziri Mkuu ashiriki kumfariji

Автор: Dar24 Media

Загружено: 2018-01-03

Просмотров: 36256

Описание:

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majliwa ametia saini kitabu cha maombolezo na kumpa pole Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola kufuatia kifo cha mke wake, Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Jijini Dar es salaam.

Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mary Lugola alifariki dunia Januari 1, 2018 katika Hospitali ya Rabininsia Jijini Dar es samaam alipokua akipatiwa matibabu.

 Hadi umauti unamkuta Marehemu Mary Lugola alikuwa Afisa Mnadhimu Kikosi cha Polisi Reli nchini. Mwili wa marehemu Mary Lugola utasafirishwa kesho kwenda Mkoani Mara kwa mazishi.

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Msiba Mke wa Naibu waziri Kangi Lugola: Waziri Mkuu ashiriki kumfariji

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

INAUMA: Kangi Lugola afunguka mwanzo mwisho kuhusu mke wake,

INAUMA: Kangi Lugola afunguka mwanzo mwisho kuhusu mke wake, "...Ilikuwa zawadi ya mwaka mpya"

WAZIRI MAKAMBA NA NAIBU WAZIRI BYABATO WAWASILI OFISI NDOGO ZA WIZARA JIJINI DAR ES SALAAM.

WAZIRI MAKAMBA NA NAIBU WAZIRI BYABATO WAWASILI OFISI NDOGO ZA WIZARA JIJINI DAR ES SALAAM.

Kangi Lugola aingia mtaani

Kangi Lugola aingia mtaani "Kangi wa jana sio Kangi wa leo"

Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta

Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 24.12.2025 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 24.12.2025 | TV Republika

MSAFARA WA GSM BAADA YA KUWASILI AIRPORT DSM AKITOKEA DUBAI

MSAFARA WA GSM BAADA YA KUWASILI AIRPORT DSM AKITOKEA DUBAI

🔥 АРМИЯ 800 ТЫСЯЧ И НАТО: Зеленский раскрыл план завершения войны

🔥 АРМИЯ 800 ТЫСЯЧ И НАТО: Зеленский раскрыл план завершения войны

JPM alivyofika kwenye Msiba wa Mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola

JPM alivyofika kwenye Msiba wa Mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola

Lugola ashtukiza kituo cha polisi, akuta mahabusu 11 waliofutiwa kesi bado wameshikiliwa

Lugola ashtukiza kituo cha polisi, akuta mahabusu 11 waliofutiwa kesi bado wameshikiliwa

Serikali yaingilia kati mgogoro wa familia ya bilionea Msuya

Serikali yaingilia kati mgogoro wa familia ya bilionea Msuya

RAIS MAGUFULI ALIVYOMGEUZIA KIBAO WAZIRI LUGOLA, A

RAIS MAGUFULI ALIVYOMGEUZIA KIBAO WAZIRI LUGOLA, A"CHA KUWAONEA POLISI, WANAFANYA KAZI"

Waziri Kangi Lugola abaini utoroshwaji wa mbwa wa polisi

Waziri Kangi Lugola abaini utoroshwaji wa mbwa wa polisi

LIVE: Kangi Lugola ashtukiza Polisi Dodoma ‘Nataka mlizobaki nazo nyinyi”

LIVE: Kangi Lugola ashtukiza Polisi Dodoma ‘Nataka mlizobaki nazo nyinyi”

KWA MARA YA KWANZA MKE WA BILIONEA MSUYA NA REVOCATUS WAFUNGUKA BAADA KUKAA GEREZANI MIAKA NANE

KWA MARA YA KWANZA MKE WA BILIONEA MSUYA NA REVOCATUS WAFUNGUKA BAADA KUKAA GEREZANI MIAKA NANE

FULL VIDEO: WAZIRI KANGI LUGOLA ALIVYOMPIGA MASWALI NABII

FULL VIDEO: WAZIRI KANGI LUGOLA ALIVYOMPIGA MASWALI NABII

NAIBU WAZIRI WA AFYA, DR. GODWIN MOLLEL BUNGENI LEO

NAIBU WAZIRI WA AFYA, DR. GODWIN MOLLEL BUNGENI LEO

#LIVE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU MKESHA WA KRISMASI KANISA KUU KRISTU MFALME JIMBO KATOLIKI MOSHI

#LIVE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU MKESHA WA KRISMASI KANISA KUU KRISTU MFALME JIMBO KATOLIKI MOSHI

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Внутри тюремной реабилитации Талибана для наркозависимых

Внутри тюремной реабилитации Талибана для наркозависимых

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]