KIGOMA YAPOKEA MWENGE WA UHURU KUTOKA MKOA WA KAGERA 2025
Автор: STARBORN PICTURES
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 556
“Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa rasmi leo tarehe 15 Septemba 2025 mkoani Kigoma ukitokea mkoa wa Kagera. Zoezi hilo limefanyika kwa heshima kubwa likihusisha viongozi wa serikali, vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na wananchi mbalimbali. Mwenge huo utaendelea na mbio zake mkoani Kigoma kwa kutembelea miradi ya maendeleo, kuhamasisha mshikamano wa kitaifa, mapambano dhidi ya rushwa, dawa za kulevya na VVU/UKIMWI.”
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: