Ujumbe Wa Toba Unaoweza Kubadilisha Maisha Yako
Автор: Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT - Oldonyo Sambu
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 62
Ibada ya Liturujia kutoka Kanisa la KKKT Oldonyosambu.
Sehemu hii takatifu ya ibada inaonyesha utaratibu wa kumwabudu Mungu kwa heshima, sala, na shukrani. 🙏
Waumini wakishiriki kwa unyenyekevu, wakiimba na kusoma maandiko, wakimsifu Mungu aliye mkuu.
Ni ibada yenye utulivu na uwepo wa Mungu unaogusa mioyo ya wengi. ❤️
📍 Mahali: KKKT Oldonyosambu
👉 Tazama, barikiwa, na usisahau kulike 👍, kushare 🔁, na kusubscribe 🔔 kwa video zaidi za ibada na nyimbo za injili.
#IbadaYaLiturujia #kkkt #ibadayajumapili #kwayayamsamariamwema #gospeltanzania #sifanakuabudu #WorshipService #KanisaLaKKKT
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: