MANSOUR HIMID ATOBOA SIRI YA MAALIM SEIF KUPANGA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA...
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2022-02-17
Просмотров: 22185
MANSOUR HIMID ATOBOA SIRI YA MAALIM SEIF KUPANGA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha ACT-WAZALENDO Mansour Yussuf Himidi amesema dhamira ya Marhemu Maalim Seif Sharif Hamad ni kuunda Serikali ambayo itakua rika ya Vijana wengi bila ya kujali itikadi zao za vyama vya siasa
Mansour ameeleza hayo wakati wa mdahalo maalum ulioandaliwa na taasisi ya Maalim Seif ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kiongozi huyo afariki Dunia Febuari 17 mwaka Jana, mkutano huo uliwahusisha watu mablimbali aliuzindua huko Golden Tulip Airport Hotel Unguja
Mansour amesema Marhemu Maalim Seif alipanga endapo angefanikiwa kushika madara ya Urais kuunda serikali ambayo angewateua Vijana wengi akiamini uwezo wa Vijana katika kulitumikia na kuleta maendeleo kwa Taifa
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: