KATEKELA AELEZA JINSI WATU WANAVYOUNGANISHWA NA LAANA ZA MIZIMU, AGUSIA VIAPO VYA KUZIMU NA KUJITOA
Автор: Elshaddai tv
Загружено: 2025-07-29
Просмотров: 10349
ni katika seimina Neno la Mungu iliyo hudumiwa na Mch. Amiel Katekela katika kanisa la TAG Elshaddai lililopo Zizi Iringa Mjini Julai 12, 2025 siku ya Jumamosi.
Laana za mizimu hutokea kuzimu na zina njia zake za kuwafikia watu, toba pekee ndiyo inayovunja minyororo ya laana na Yesu huingilia kati. Agusia suala la viapo vya kuzimu namna watu wanavyojikabidhi kwa shetani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: