Makovu ya ukatili wa kijinsia katika jamii | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 153
Kutambua visa vya unyanyasaji ni kitu kimoja lakini ujasiri wa kujitoa kwenye minyonyoro ya janga hilo bado ni changamoto kubwa. Mjadala wetu leo unaangazia masaibu ya wahanga wa ukatili wa kijinsia na simulizi zao. #dwhabarimotomoto #dwkiswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: