What is Excel | Introduction to Excel for Data Analytics | How to save and Protect a Workbook
Автор: Your Data Mentor 🇹🇿
Загружено: 2025-11-21
Просмотров: 28
Karibu kwenye somo letu la leo!
Katika video hii tunaanza kabisa na utambulisho wa Excel, tunajifunza Excel ni nini, kwa nini ni muhimu kwenye Data Analytics, pamoja na hatua za ku-save na kulinda (protect) workbook yako ili isiharibike au kufutwa na mtu mwingine.
Hii ni video rahisi, ya msingi, na inalenga wanaoanza kujifunza data analysis kutoka mwanzo.
#excel #tutorial #swahili, #dataanalytics #mafunzo #jifunze #tanzania #education
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: