TOYOTA KLUGER GARI NGUMU SANA NA INAKIMBIA SANA
Автор: DOTELLIMITED
Загружено: 2024-06-16
Просмотров: 4427
Tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kukamilisha ndoto za walio wengi kumiliki magari ya ndoto zao kupitia kampuni yetu, nadhani umebakia wewe tu 😄 kumiliki gari kali ya ndoto yako.
Muda wa kusubiria ni wiki sita tu mpaka kukabidhiwa mzigo wako.
Lipia 50% tu Kiasi kingine utamalizia gari lako litakapowasili.
Ubora na Viwango ni vya hali ya juu.
Kwa mahitaji ya magari yenye sifa tofauti tofauti tupigie tuulize tutakupa ufafanuzi wa kiufundi mpaka gharama stahiki za gari husika.
_____
Mobile/Text/whatsapp 0689265275 / 0652233353 / 0744888339
Office; Posta , Samora Avenue , NHC House 9th Floor, Dar es salaam, Tanzania
Instagram; www.instagram.com/dotellimited
Facebook; www.facebook.com/dotellimited
Twitter; www.twitter.com/dotellimited
#Dotellimited
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: