WAZIRI MBARAWA ATOA WIKI MBILI KWA MKANDARASI, KIGOMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-07-31
Просмотров: 4932
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amewaonya wakandarasi wanaotekeleza mradi wa barabara ya kiwango cha lami kilometa 260 kutoka Manyovu wilayani Buhigwe hadi Kabingo wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma kutekeleza miradi yao kulingana na mkataba na muda wa kumaliza mradi.
Waziri Mbarawa amasema hayo kwa nyakati tofauti baada ya kufanya ziara na kukagua barabara hiyo ambapo ameonyesha kukerwa na Mkandarasi wa Sinohydro anayejenga kipande cha pili cha barabara yenye urefu wa kilometa 70.5 kutoka Kanyani hadi wilaya ya Kasulu kwa kuchelewesha kazi.
Amesema mkandarasi huyo ambaye taarifa zinaonyesha yuko nyuma ya wakati kwa asilimia 14 anaelezwa kutokuwa na vifaa vya kutosha huku baadhi ya vifaa alivyonavyo vikiwa havikidhi haja na hadhi ya mradi aliopewa.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: