FAHAMU KUHUSU KITUO KIDOGO CHA UTAFITI CHA NIMR AMANI HILL
Автор: NIMR Tanzania
Загружено: 2026-01-04
Просмотров: 1013
Karibu katika Kituo chetu kidogo cha Utafiti cha NIMR Amani Hill, kilichopo mkoani Tanga Wilaya ya Muheza kwenye Milima ya Usambara Mashariki. Kituo hiki kimekuwa sehemu muhimu ya shughuli za utafiti wa kijamii na kimazingira kwa miaka 123 tangu mwaka 1902, kikichangia maendeleo ya maarifa na afya kwa jamii za maeneo ya milimani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: