WAKUU WA IMANI- JOSHUA NA KALEBU | | SOMO LA 8 | Robo ya 4 | MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA
Автор: BW MEDIA
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 6465
#swahiligospel #sdachurch #Zaburi #bwmedia #sabbathschool #sdachurch
WAKUU WA IMANI JOSHUA NA KALEBU
Binadamu hujifunza kwa kuiga, na mara nyingi hutenda kulingana na udhaifu wa wengine hata tunapokusudia mema. Hata hivyo, Mungu kwa neema yake hutupatia watu wa imani wa kutuongoza. Wiki hii tunawaangazia Kalebu na Yoshua viongozi wawili ambao ujasiri wao, uaminifu wao, na kumtumaini Mungu bila kuyumba kuliwaweka mbali na kizazi chao. Kisa chao kinanaonesha kwamba kuishi kwa uadilifu wa kiroho kunawezekana na kuna uwezo mkubwa wa kubadilisha maisha, hata katikati ya hofu na majaribu ya kukengeuka.
👇 Subscribe katika channel yetu ili usipitwe na matangazo mengine kama haya!
🔔 Bonyeza kengele ili upate Taarifa kila tunapokuwa live!
🔴ONLINE SABBATH SCHOOL LESSONhttps://www.adultbiblestudyguide.org/...
📩 Contact us: [email protected]
📱 WhatsApp: +255 658 464 549
Whatsap Group: https://chat.whatsapp.com/HFT3AUktzEr...
@BWONLINETV
#biblestudyguides #kutoka #sabbathschool #Zaburi #Masalia #MlimaSayuni #InjiliYaMilele #NenoLaMungu #BibleStudy #swahiligospel @BW MEDIA #sdachurch #mezayamakuhani #mwongozowakujifunzabiblia #Pambano #hopesabbathschool#live
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: