Window Of Opportunities | S01E04 with Jamila alezea jinsi alivyoamua kutengeneza unga wa lishe.
Автор: Oyo Tanzania
Загружено: 2019-01-09
Просмотров: 18353
Wiki hii Tumefanya mazungumzo na Jamila amewahi kushinda tunzo tofauti kutokana na ubunifu wa biashara yake, amewahi mmoja wa washindi wa Lishe Accelerator. Jamila "Nilihamasishwa na jamii inayonizunguka kutengeneza kitu kitakachokua tiba kuepusha watoto na utapiamlo. Nimeishi Temeke uswahilini na niliona ni kwa jinsi gani watoto walivyokua wakiathirika na tatizo la utapiamlo, na hili sio tatizo tuu la Temeke bali kwa Tanzania nzima. Changamoto hii ilinifanya niwaze ni kwa namna gani naweza keleta mabadiliko kwenye jamii inayonizunguka. Nilipata Ufumbuzi na nikaamua kutengeneza bidhaa itakayokua tiba kwa watoto na hata watu wazima wenye magonjwa tofauti mfano; kisukari.
#Entrepreneurship
#tanzania
#ujasiriamali
#africayoungleaders
#Tanzaniayoungheros
#sweetunga
#ujasiriamalinawanawake
#dirishalafursa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: