Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KWA NINI SI MAPENZI YA MUNGU UWE NA WOGA - MWL. ISAAC JAVAN - KKKT KISASA

Автор: Isaac Javan

Загружено: 2022-03-12

Просмотров: 3475

Описание:

Dunia ina zaidi ya watu bilioni 7, na kila mmoja anawindwa na roho ya woga. Hii ni roho ambayo imekuwa ikitawala na kuwatesa watu kwa muda mrefu, tangu utoto mpaka uzee. Na kwa sababu hiyo, imeonekana ni hali ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba, woga si hali ya kawaida. Woga ni roho kabisa inayotoka kuzimu, na nia na madhumuni yake ni kuiba, kuua pamoja na kuharibu.

Katika somo hili la leo, utajifunza ni kwa nini Mungu hapendi uwe na woga. Utajifunza madhara ya kiroho, na madhara ya kimwili, yanayosababishwa na roho ya woga. Lakini pia utajifunza namna ya kuishinda hii roho ya woga. Mwisho kabisa wa somo hili la leo, kuna maombi, yenye lengo la kuondoa roho ya woga ili ikose uhalali wa kufuatilia maisha yako na uzao wako. Napenda kukutia moyo, hakikisha kwanza unasikiliza neno ili uelewe. Halafu hakikisha unafanya maombi ili upate kuishinda hii roho.

Mungu akubariki sana, na BWANA YESU akutane na haja za moyo wako. Amen!

Isaac Javan.

KWA NINI SI MAPENZI YA MUNGU UWE NA WOGA - MWL. ISAAC JAVAN - KKKT KISASA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

3. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu

1. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

SITAKUFA KWA PRESHA, NITAISHI KUYASIMULIA MATENDO YA MUNGU KWENYE MAISHA YANGU | Isaac Javan

1. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO - MWL. ISAAC JAVAN - (Mafundisho)

6. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

9. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

40. MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO | UCHUMBA | MAHARI | NDOA | MWL. ISAAC JAVAN

Unaifahamu Roho Ya Hofu? Jifunze Na Pastor Sunbella

MUNGU HAKUTUPA SISI ROHO YA WOGA - Askofu Prof. Sylvester Gamanywa

1. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Toba na Rehema | MWL. ISAAC JAVAN

JINSI YA KUFUFUA MAMBO YALIYOKUFA - MWL. ISAAC JAVAN - (Mafundisho)

JINSI YA KUSHINDA ROHO YA HOFU || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 04/08/2022

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

NENO LA SIKU | Marko 5 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Mauti | Isaac Javan

Mch Moses Magembe: SABABU ZA KUSHUKURU MUNGU

1. MAOMBI YA KUFUNGA NA FAIDA ZAKE KWAKO - MWL. ISAAC JAVAN - KKKT KISASA

LIVE, MKESHA WA MWAKA MPYA 2026 KWA PASTOR GODWIN NDELWA/ REHOBOTH

Shetani anaandama ujasiri (Confidence) wako ili akumalize, roho ya uoga ishindwe - Himizo - Victor M

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]