#TBC
Автор: TBConline
Загружено: 2025-03-18
Просмотров: 25350
Kipindi hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka site moja kwa moja mpaka Wilaya ya Kinondoni Mkoani DSM, ambapo hapa tunashuhudia uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi wa hospitali ya Shifaa ambayo ni ya kisasa.Mradi huu ambao umesajiliwa na kituo Cha Uwekezaji nchini TIC ni miongoni mwa miradi ya kimkakati ya kuchagiza sera ya utalii tiba. Wekeza Tanzania ni kila jumanne saa 12:00 jioni TBC1 na marudio Jumatano 7:30 mchana na kwenye YouTube channel yetu ya TBCONLINE.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: