IGAMBAH-SIFA |The Official Video.| SMS SKIZA 6620011 To 811
Автор: IGAMBAH
Загружено: 2020-10-19
Просмотров: 45894
Song:Sifa
Inspired by:Psalms 66
Written and Performed by:Igambah
Skiza:6620011
Video Director:This Must Be Brayoo
Recorded,produced and mastered at:Finetune Records
Audio producer: Tonny/Gp
Backup Vocalists:Eva Wanja and Dennis Ndegwa
Year:2020
Lyrics
Verse 1
Mwambieni Mungu Ni jinsi gani
Yalivyokutisha Matendo yake
Uwezo wake ni mkuu kiasi kwamba
Adui wanyenyekea mbele zake ×2
Chorus
Mungu Ametenda mema apewe sifa
Ahimidiwe,atukuzwe,na achezewe
Imbeni utukufu wa jina lake
Mpeni sifa zake kwa utukufu.
Verse 2.
Shukrani zote zako we Ebenezer
Mahali nimefika ni nguvu zako
Nipanulie mipaka nifike mbali
Timiza ewe Bwana uliyoyasema ×2
Chorus...
Climax
Nani alifanya hilo bahari kuwa nchi kavu?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Nani anayetawala kwa uwezo wake milele?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Nani macho yake huangalia mataifa yote?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Nani azuia miguu yetu isije teleza?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Nani ameyahifadhi maisha yetu hadi sasa?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Nani ajibiye maombi yetu yote kwa wakati?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Nani mfariji wetu wakati tuna machungu?
Aah Aah Ni Mungu Tu
Basi tuungane sote tumpe sifa zote kwani yeye?
Aah Aah Ni Mungu Tu
End
To connect with Igambah:
Facebook:https://www.facebook.com/IgambahMuziq...
Instagram: / _igambah
Twitter:https://twitter.com/Igambah1?s=09
Whatsapp:https://chat.whatsapp.com/Ju0X0PbMtjv...
#NiMunguTu #Sifa #Igambah #Subscribe
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: